Meta Ads Mastery

Premium course

Intermediate

Video

Video

Meta Ads

5 Lessons

0% Not started

Meta Ads Mastery

Premium course

Katika video hii, utajifunza jinsi mfumo mpya wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram (Andromeda) unavyofanya kazi na unakutaka wewe mrusha matangazo ufanye nini kupata matokeo mazuri.

Video lesson

Premium course

Katika video hii, utajifunza kutumia mfumo wangu wa Avatar Discovery System kuitengenezea Andromeda risasi (creatives) zinazolenga walengwa sahihi.

Video lesson

Premium course

Katika video hii, utajifunza mfumo mpya wa kupangilia matangazo na jinsi ya kubaini ni tangazo lipi hasa linalokuletea wateja wengi.

Video lesson

Premium course

Katika video hii, utajifunza jinsi ya kufanya ili tangazo zuri liteme wateja wengi zaidi bila kuharibu performance yake.

Video lesson

Premium course

Katika video hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kurusha matangazo kwenye ads manager

Video lesson

Follow

About the teacher

Mr Bokko

Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.

{"email":"Email address invalid","url":"Website address invalid","required":"Required field missing"}
>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications