Mkwanja Usingizini 1.0
Premium course
Intermediate
Premium course
Intermediate
Video/Text
Meta Ads
15 Lessons
0% Not started
Premium course
Utaratibu wa darasa na link ya kujiunga kwenye group la support whatsapp
Premium course
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuandaa ubongo wako katika mazingira ambayo yatakusaidia ufanikiwe katika jambo lolote!
Premium course
Kwenye video hii utajifunza maana ya biashara hii mpya ya "Information marketing business" na aina ya bidhaa ambazo unaweza ukaziuza!
Premium course
Katika video hii utajifunza fomula 4 za masoko ambazo utazitumia kuuza bidhaa katika aina hii mpya ya biashara.
Premium course
Katika video hii utajifunza jinsi ya kupata wazo na kulihakiki kama litauza kabla ya kuligeuza wazo kuwa bidhaa
Premium course
Katika video hii utajifunza jinsi ya kufungua business manager, ads manager, page ya biashara na kulink njia ya kufanya malipo (payment method)
Premium course
Katika video hii utajifunza fomula ya kuandika tangazo zuri.
Premium course
Katika video hii utajifunza "Basics" za kudizani picha kwa kutumia application ya Canva
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza landing page ya group la whatsapp
Premium course
Katika video hii utajifunza jinsi ya kurusha tangazo Facebook & Instagram kuhakiki wazo lako.
Premium course
Katika video hii utajifunza maswali ambayo unatakiwa uyaulize kuweza kuhakiki wazo lako kwenye group la whatsapp.
Premium course
Katika video hii utajifunza jinsi ya kugeuza wazo lako kuwa bidhaa
Premium course
Katika video hii utajifunza faida za kuligawa wazo lako kwenye topics & subtopics
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuandaa slides
Premium course
Follow
Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.