Mfumo Wa Kunasa Downlines Online - Online Marketing System Pro

HATIMAYE IMEFICHULIWA: Mfumo Wa Hatua 6 Aliotumia Tim Erway Kupata Downlines 1732 Ndani Ya Siku 30

Bila kukataliwa na watu, kusumbua ndugu, jamaa na marafiki — huku ukivutia watu wapya walio tayari kujiunga kila siku.

Kutoka kwa: Mr Bokko

Mtaalamu wa kupata mauzo na downlines online.

Dar es Salaam.


"kawashirikishe ndugu zako kwanza mtengeneze hizo hela"

Hilo lilikuwa jibu ambalo Tim alipewa na watu wengi aliojaribu kuwashirikisha fursa yake.

Akaona bora awashirikishe ndugu zake huenda wao watajiunga.

Lakini majibu yao yalimshangaza sana.

"Fanya kwanza wewe ukifanikiwa tutakuja"

Hapo ndipo akaanza kuona mambo si rahisi kama alivyodhani.

Akaamua kujaribu kwa marafiki zake aone kama watamuunga mkono.

Lakini hali ilikuwa mbaya zaidi.

“Hahahahaha… umejiunga kwenye huo utapeli! Tayari umeshapigwa mwanetu”

Maneno hayo yalimuumiza sana.

Pole pole… hamasa ikaanza kupungua.

Kujiamini kukaanza kuyeyuka.

Akaanza hata kujiuliza kama alifanya makosa kuanza hii biashara.

Kwa kukosa majibu, akaamua kutafuta msaada kwa viongozi wake.

Akaelezea kila kitu — jinsi alivyokuwa anakataliwa, anavyochekwa, na jinsi mambo yalivyokuwa hayaendi.

Lakini majibu yao yalikuwa yale yale ambayo wengi hupewa:

“Kukataliwa ni hali ya kawaida. Huu ni mchezo wa namba… ongea na watu wengi zaidi. Wapo ambao watakubali tu.”

Wakamwambia:

  • aanzishe mazungumzo na watu wapya kila siku
  • ajenge urafiki nao
  • kisha awashirikishe fursa

Na akishindwa kuwaclose, awapeleke kwa viongozi wake.”

Tim akaamua kujaribu.

Akaanza kuzungumza na watu barabarani, mtaani, popote alipokutana nao.

Lakini kulikuwa na tatizo moja kubwa…

Tim ni introvert.

Yeye si mtu wa kupenda kuchangamana na watu au kuanzisha mazungumzo na watu asiowafahamu.

Kila jaribio lilimchosha.

Kila kukataliwa kulimuumiza zaidi.

Kile kilichokuwa kinaonekana kama fursa ya maisha…

Kikaanza kugeuka kuwa mzigo na mateso.

Siku zilivyopita, ndivyo alivyopoteza hamasa.

Mpaka ikafikia hatua akaanza kuona kama hii ni biashara ya kujiaibisha tu.

Na baada ya mwaka mzima wa kujaribu…

Hakupata hata downline mmoja.

Lakini kile kilichotokea baada ya hapo…

Ndicho kilibadilisha kila kitu.

Baada ya kufika mwisho wa nguvu zake, Tim aliamua kufanya kitu ambacho wengi huwa hawafanyi…

Aliacha kutumia “njia za kawaida” alizokuwa amefundishwa na viongozi wake.

Badala ya kuendelea:

  • kufuatilia watu
  • kuanzisha mazungumzo ya kulazimisha
  • na kujiaibisha kila siku

Akaanza kutafuta njia mbadala.

Njia ambayo ingemruhusu kupata watu wapya…

Bila kuwafuatilia.

Bila kuwashawishi.

Na bila kutegemea bahati.

Ndipo alipogundua kitu kilichobadilisha mchezo mzima.

Mfumo wa ukurasa mmoja tu (simple 1-page website)

Kuvutia watu wenye utayari wa kuanza biashara…

Na kuwaongoza hatua kwa hatua hadi kufanya maamuzi ya kujiunga.

Badala ya yeye kuwatafuta watu…

Watu wakaanza kumtafuta yeye.

Badala ya kukataliwa…

Alianza kufanya mazungumzo na watu ambao tayari walikuwa na shauku kubwa ya kuanza biashara.

Na ndani ya muda mfupi…

Matokeo yakaanza kuonekana.

Leads (prospects wenye utayari) zikaanza kuingia kila siku.

Mazungumzo yakawa rahisi.

Na hatimaye…

Ndani ya siku 30 tu…

Akaweza kupata “direct downlines 1732” ndani ya mfumo wake.

Bila kusumbua ndugu.

Bila kubishana na marafiki.

Na bila kulazimisha mtu yeyote.

Sasa swali ni hili…

Je, mfumo huu unafanya kazi vipi?

Na je, inawezekana mtu wa kawaida kama wewe…

Kuutumia na kupata matokeo kama haya?

Kitu ambacho wengi hawajui ni hiki…

Mfumo aliotumia Tim ulifanya kazi vizuri sana kwenye soko la Marekani na Ulaya.

Lakini kuutumia kama ulivyo kwenye mazingira ya kitanzania…

Inaweza kuwa ngumu kupata matokeo yale yale.

Ndiyo maana baada ya kuuchambua kwa undani…

Niliuboresha na kuubadilisha ili uendane kabisa na mazingira halisi ya kitanzania.

Na matokeo yake ni huu mfumo wa hatua 6…

Unaokuwezesha:

  • Kuvutia watu wenye utayari na shauku ya kuanza biashara bila kuwafuatilia
  • Kuepuka kukataliwa na marafiki, ndugu na jamaa
  • Na kuanza kujenga timu yako kwa utaratibu unaoeleweka na wenye matokeo makubwa.

Mfumo huu naufundisha ndani ya kozi fupi ya siku moja inayoitwa:

"The 1732 Donwline Case Study"

Hii siyo kozi ya nadharia…

Ni “case study” inayoonyesha hatua kwa hatua jinsi mfumo huu unavyofanya kazi na jinsi unavyoweza kuutumia.

Hizi Hapa Baadhi Ya Siri Nzito Utakazogundua Kutoka Kwenye “The 1732 Downline Case Study”

Mfumo wa hatua 6 rahisi za kunasa downlines mtandaoni ambao wana shauku na utayari wa kuanza biashara bila kubembelezwa.

Mbinu moja ya kuwafanya watu wenye utayari wa kuanza biashara wakuwinde na kukubembeleza wajiunge kwenye timu yako.

Hatua 3 rahisi za kuchuja watu walio na utayari na ambao ni wasumbufu ili kuepuka kukataliwa na kupotezewa muda na wapuuzi

Mbinu pekee ya kupata downlines wapya bila hata kuzungumza nao kwa simu.

Kosa kubwa ambalo ukilifanya hata watu wenye utayari hawatajiunga kwenye timu yako (Elewa jinsi ya kuliepuka na hatimaye utaanza kupata downlines wapya 10+ kila mwezi)

Jinsi ya kutumia Facebook na Instagram kuwatega watu wenye shauku na utayari wa kuanza biashara masaa 24 hata ukiwa umelala.

Mbinu ya kubadilisha watu wasiokuwa na uhakika wa kuwa tayari kuanza biashara wafanye maamuzi ya kujiunga ndani ya muda mfupi bila kuonekana kama unawalazimisha.

Jinsi ya kuji-position kama kiongozi hata kama unaanza leo ili watu wakuchukulie serious na kutaka kujiunga kwenye timu yako.

Mbinu ya kufanya watu waamini hii biashara ni fursa halisi ya kubadilisha maisha yao (badala ya kuona kama utapeli au kupoteza muda).

Umechoka kualika watu waje kwenye semina lakini hawaji? Tumia Mbinu hii moja kupata watu wengi wakujiunga kwenye timu yako bila hata kuja kwenye semina.

Hizo ni siri chache tu ambazo utazigundua kutoka kwenye kozi ya “The 1732 Downline Case Study”

Ukweli ni kwamba zipo siri nyingi sana kana kwamba nikisema nizitaje zote ukurasa huu hautoshi.

Haya Ndio Mambo Yatakayoanza Kutokea Baada Ya Kuanza Kutumia Mfumo Wa Hatua 6 Kutoka Kwenye Kozi Ya ‘The 1732 Downline Case Study

  1. 1
    Utaanza kupata watu wapya wenye utayari wakiulizia jinsi ya kujiunga kwenye biashara badala ya wewe kuwatafuta.
  2. 2
    Watu wataanza kukuona kama kiongozi (leader) hata kama huna siku nyingi umeanza biashara au huna uzoefu wa aina yoyote ile.
  3. 3
    Utapata downlines wapya kwa urahisi zaidi bila kutumia muda mwingi kubembeleza au kushawishi.
  4. 4
    Utaacha kabisa kuwafuatilia watu wasiokuwa serious na badala yake utaanza kufanya kazi na watu walio tayari kuanza biashara.
  5. 5
    Kujiamini kwako kutaongezeka kwa sababu utaona matokeo halisi badala ya kubahatisha.
  6. 6
    ⁠Utajenga mfumo unao endelea kuvutia prospects (watu wenye utayari wa kujiunga) hata ukiwa offline au bize na mambo mengine.
  7. 7
    Utaanza kupata downlines wapya kila mwezi wanaotabilika na sio mwezi huu wawili halafu inapita miezi mitano na zaidi bila kupata downlines wengine wapya.
  8. 8
    Utapunguza sana muda unaopoteza kwenye chats zisizo na maana na watu wasio na nia ya kujiunga.
  9. 9
    Prospects wataanza kuelewa biashara yako kabla hata hujaongea nao.
  10. 10
    Utaweza kukuza timu yako kwa kasi zaidi ukilinganisha na njia za kawaida.
  11. 11
    Utaanza kuona uwezekano wa kufikia kipato kikubwa kupitia network marketing badala ya kuona kama ni ndoto tu.
  12. 12
    Utaacha kabisa stress ya kukataliwa mara kwa mara kwa sababu utakuwa unafanya kazi na watu sahihi tu.
  13. 13
    Utaanza kufurahia mchakato wa kujenga timu badala ya kuona kama ni kazi ngumu na ya kuchosha.

Kwa kifupi, utaacha kubahatisha na utaanza kutumia mfumo unaokupa mwongozo wa kupata matokeo halisi.

Tuchukulie mfano rahisi tu:

Kama utaanza kupata downlines wapya 10 kila mwezi…

Ndani ya mwaka mmoja utakuwa na zaidi ya downlines 120 ulioingiza wewe mwenyewe.

Na hapo bado hatujaangalia nguvu ya timu.

Kwa sababu ukiwafundisha hata baadhi yao kutumia mfumo huu…

Na kila mmoja wao akaanza kupata watu wachache tu kila mwezi…

Timu yako inaweza kukua kwa kasi kubwa sana kuliko unavyofikiria sasa hivi.

Hii ndiyo nguvu halisi ya network marketing —sio kufanya kila kitu mwenyewe, bali kujenga mfumo unaokua hata bila wewe kufanya kazi yote peke yako.

Kozi Hii Ya “The 1732 Downline Case Study” Inagharimu Kiasi Gani?

Kwa kuzingatia thamani ya mfumo huu…

Na matokeo ambayo unaweza kuyapata ukiutumia ipasavyo…

Watu wengi wangeweza kudhani kozi kama hii ingegharimu:

Tsh 100,000

Au hata Tsh 300,000+

Lakini ukweli ni huu…

Lengo langu siyo kukufanya ulipie gharama kubwa.

Lengo langu ni kuhakikisha networkers wengi wanao hangaika kupata downlines…

Wanapata mfumo unaofanya kazi kwa mazingira yao.

Ndiyo maana nimeifanya kozi hii ipatikane kwa bei ambayo networker yeyote serious anaweza kuimudu.

Kwa sasa, unaweza kupata access kamili ya kozi hii kwa:

Tsh 15,000 tu

Ndiyo…

Elfu kumi na tano tu.

Hii ni chini ya gharama unayotumia kwa siku moja kwenye vitu vidogo vidogo…

Lakini inaweza kubadilisha kabisa namna unavyopata downlines kwenye biashara yako.

Sasa swali ni hili…

Je, utaendelea kutumia njia zile zile zinazo kuaibisha na kukataliwa kika siku…

Au uko tayari kujaribu mfumo ambao tayari umeonyesha matokeo?

Fanya maamuzi sasa na ujiunge kwa maana saa unayoiona hapo juu ikisoma sifuri bei inapanda mpaka Tsh 100,000/=

Chaguo ni lako, ujiunge sasa hivi kwa Tsh 15,000/= 

au siku nyingine kwa Tsh 100,000/=

Kufanya zoezi la wewe kujiunga kwenye kozi hii liwe rahisi na la haraka nataka niifanye OFA hii iwe ya kufa mtu kana kwamba usipoinyakua basi ubaki ukijilaumu maisha yako yote.

Kama utajiunga leo kwenye kozi ya “The 1732 Downline Case Study” nakuzawadia na Bonus zifuatazo:

Bonus #1: Customer Aquisition Engine.

Hii ni kozi iliyosheheni mbinu na siri za kutengeneza mfumo mzima wa kuuza virutubisho lishe mtandaoni masaa 24 bila kuchat na wagonjwa inbox au kuwa na magroup ya whatsapp. 

Wakati naitoa kozi hii kwa mara ya kwanza ilikuwa inauzwa 350,000/= na watu zaidi ya 70 walilipia. 

Badae kozi hii ikawa inauzwa kwa bei tofauti tofauti kulingana na ofa ya wakati huo. 

Thamani ya BONUS hii ni 350,000/=

Bonus #2: Facebook & Instagram Mapene.

Hii ni kozi iliyokamilika ambapo nafundisha mbinu ya "Targeting Hack" kufanya matangazo ya kulipia mtandaoni (Fb & Insta) yenye kuanza kuleta mafuliko ya wateja Ndani Ya Masaa 72 au chini ya Hapo!

Wakati nimeileta sokoni kozi hii kwa mara ya kwanza nilikuwa naiuza kwa 80,000/= na watu wengi tu walinunua. Badae nikaamua nipunguze mpaka 35,000/= ambayo ndo bei yake mpaka sasa.

Wanafunzi ambao washajiunga kwenye course hii mpaka sasa kama unavyoona kwenye picha hapo juu ni 672. 

Thamani ya BONUS hii ni 35,000/=

Bonus #3: Meta Ads Profit ToolBox.

Unatakiwa uelewe kwamba hakuna tangazo ambalo litafanya vizuri siku zote.

Hata tangazo zuri kuna wakati inafika halifanyi vizuri tena.

Changamoto kubwa ni kwamba wafanyabiashara wengi hawajui sababu zinazopelekea tangazo lililoluwa linafanya vizuri kuanza kufanya vibaya. Matokeo yake wengi wao huishia kuchoma pesa kwa kufanya mambo kwa kubahatisha.

Taarifa njema ni kwamba...

Katika kozi hii ya "Meta Ads Profit ToolBox" nakufundisha sababu 8 zinazopelekea matangazo mazuri kuanza kufanya vibaya na mbinu za kufanya ili kuyarudisha matangazo mazuri kwenye ubora wake.

Thamani ya BONUS hii ni 35,000/=

Bonus zote 3 Thamani yake Kwa Ujumla Ni Tsh 420,000/=

Lakini BONUS hizi 3 utazipata kwa BURE kabisa endapo utajiunga leo kwenye kozi hii ya “The 1732 Downline Case Study”

Kwahiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia Tsh 15,000/= leo:

  • Kozi ya “The 1732 Case Study” — Thamani Yake Tsh 300,000/=

  • Kozi ya Customer Acquisition Engine (CAE) — Thamani yake Tsh 350,000/=
  • Kozi ya Facebook & Instagram Mapene — Thamani yake Tsh 35,000/=
  • Kozi ya Meta Ads Profit ToolBox — Thamani yake Tsh 35,000/=

Jumla ya thamani ya Kila kitu utakachopata ni 720,000/= lakini wewe kwa leo utalipia…

Tsh 15,000/= Tu

Mafunzo Yanaanza Lini?

Mafunzo ya kozi nzima yameshaandaliwa tayari katika mfumo wa video.

Kwahiyo kozi ishaanza tayari ni wewe kujiunga na kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo.

Na mafunzo haya yanatolewa kwenye tovuti yangu (Online) na sio kwa kukutana ana kwa ana wala kwenye group la whatsapp.

Utapata kujifunza ukiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania na kwa muda wako.

Mafunzo haya ni ya siku moja tu.

Mara tu baada ya kukamilisha malipo unapata access ya mafunzo.

Unaweza kuanza kujifunza muda huo huo au siku nyingine ni juu yako.

Kufanya malipo ni rahisi tu.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “LIPIA SASA”

Unalindwa na Guarantee Ya Siku 30 — Uanze Kupata Downlines Wapya Kila Mwezi au Nikurudishie Pesa Zako Zote.

Kama umesoma kuanzia mwanzo mpaka kufikia hapa na bado hujalipia kujiunga, nahisi umevutiwa na kozi hii… lakini bado unajiuliza kama kweli kozi hii itakupatia matokeo.

Ni sawa kabisa.

Sasa tuondoe kila tone la risk — wewe ujaribu, mimi nichukue risk.

Hivi ndivyo inavyofanya kazi:

Lipia mafunzo ya kozi ya “The 1732 Downline Case Study”. Fuata kilichofundishwa hatua kwa hatua kutengeneza mfumo wa kunasa downlines mtandaoni.

Halafu — moja kati ya haya mawili yatatokea:

✅ Option 1: Mfumo Ufanye kazi.

Utengeneze mfumo kisha mfumo uanze kukusaidia kunasa downlines wapya kila mwenzi bila kubembeleza watu wajiunge au kusumbuana na ndugu, jamaa, na marafiki.

❌ Option 2: Mfumo Usifanye kazi.

Kwa sababu yoyote ile — mfumo usipofanya kazi au hujayapenda mafunzo na unaona hayakufai, unanitumia ujumbe tu. Nakurudishia 100% ya pesa zako zote — bila usumbufu, bila masharti magumu. Na unabaki na mfumo wote, kama shukrani kwa kujaribu.

Kwa hiyo, kwa namna yoyote ile — unashinda na wala hupotezi pesa zako.

Ama uanze kupata downlines wapya. Au urudishiwe pesa zako — na bado unabaki na mafunzo yenye thamani ya zaidi ya Tsh 720,000.

Acha mfumo ujithibitishe kwako — kama ulivyofanya kwa Tim.

P.S: Kwa jinsi ninavyoona, mpaka sasa una chaguo tatu.

Chaguo #1: Unaweza kusahau kila kitu nilichokuambia leo… urudi kufanya yale uliyokuwa ukifanya siku zote… na upate matokeo yale yale uliyokuwa ukipata siku zote.

Lakini kama ungekuwa unafurahishwa na ukubwa na timu yako kwa sasa na wingi wa downlines unaowapata, usingekuwa bado unasoma hadi sasa.

Na bado unasoma — hiyo inanionesha uko tayari kwa mabadiliko.

Kwa hiyo, kutofanya chochote hakuna maana kabisa. Unahitaji kuchukua hatua leo.

Chaguo #2: Unaweza kunisahau mimi na uanze kutafuta kozi zingine.

Kila la kheri kwa chaguo hilo.

Kwa sababu mfumo huu wa kunasa downlines wapya ni wa kipekee. Sijawahi kuona kozi nyingine kama hii Tanzania nzima.

Je, unaweza kufanikiwa bila kuwa na mfumo wa namna hii? Ndiyo. Lakini jiandae kukutana na “rejections” kibao kila siku na kuambiwa biashara hii ni ya kitapeli.

Kama unaweza kuvumilia hizo stress za kukataliwa, kuchekwa, kuambiwa ni utapeli mtupi, usijiunge kwenye kozi hii.

Chaguo #3: Jiunge kwenye kozi ya “The 1732 Downline Case Study” Leo na upate yote haya:

  • Mfumo wa hatua 5 rahisi za kunasa downlines mtandaoni ambao wana shauku na utayari wa kuanza biashara bila kubembelezwa.

  • Mbinu moja ya kuwafanya watu wenye utayari wa kuanza biashara wakuwinde na kukubembeleza wajiunge kwenye timu yako.

  • Hatua 3 rahisi za kuchuja watu walio na utayari na ambao ni wasumbufu ili kuepuka kukataliwa na kupotezewa muda na wapuuzi

  • Mbinu pekee ya kupata downlines wapya bila hata kuzungumza nao kwa simu.

  • Kosa kubwa ambalo ukilifanya hata watu wenye utayari hawatajiunga kwenye timu yako (Elewa jinsi ya kuliepuka na hatimaye utaanza kupata downlines wapya 10+ kila mwezi)

  • Jinsi ya kutumia Facebook na Instagram kuwatega watu wenye shauku na utayari wa kuanza biashara masaa 24 hata ukiwa umelala.

  • Mbinu ya kubadilisha watu wasiokuwa na uhakika wa kuwa tayari kuanza biashara wafanye maamuzi ya kujiunga ndani ya muda mfupi bila kuonekana kama unawalazimisha.

  • Jinsi ya kuji-position kama kiongozi hata kama unaanza leo ili watu wakuchukulie serious na kutaka kujiunga kwenye timu yako.

  • Mbinu ya kufanya watu waamini hii biashara ni fursa halisi ya kubadilisha maisha yao (badala ya kuona kama utapeli au kupoteza muda).

  • Umechoka kualika watu waje kwenye semina lakini hawaji? Tumia Mbinu hii moja kupata watu wengi wakujiunga kwenye timu yako bila hata kuja kwenye semina.

  • Na siri zingine kibao.

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications