Mwongozo Wa Kutibu Uvimbe Wa Tezi Dume Nyumbani SP - Online Marketing System Pro

Mbadala Wa Mizizi na Majani Yaliyotumika na Babu Zetu Zaidi ya Miaka 1700 Iliyopita Kutibu Uvimbe wa Tezi Dume Kiasili — Hatimaye Umegunduliwa!

Wanaume wengi hudhani uvimbe wa tezi dume ni tatizo jipya la kisasa… Lakini ukweli ni kwamba hata babu zetu walipambana nalo — na walikuwa na tiba ya kiasili.


Utandawazi na mitandao ya kijamii vinatufanya tusahau asili yetu—hekima na njia za mababu zetu walizotumia kujitibia changamoto mbalimbali za kiafya.

Leo, matatizo mengi ya kiafya yanaonekana kama ni ya kisasa. Lakini ukweli ni kwamba: yapo matatizo ya kisasa kabisa… na yapo matatizo ambayo yamekuwepo tangu enzi na enzi za mababu zetu.

Mojawapo ya matatizo hayo ni uvimbe wa tezi dume. Wanaume wengi hudhani tatizo hili limeanza hivi karibuni, kutokana na mabadiliko ya maisha ya kisasa. Lakini la hasha—tatizo hili lilikuwepo tangu enzi za mababu zetu!

Tofauti ni kwamba, enzi hizo hakukuwa na televisheni, sayansi ya kulipa tatizo hili jina rasmi, au mitandao ya kijamii ya kulisambaza. Lakini hilo halimaanishi kuwa halikuwepo…

Swali la kujiuliza ni hili:

Ikiwa Tatizo Hili La Uvimbe Wa Tezi Dume Lilikuwepo Tangu Enzi Za Mababu Zetu… ni Tiba ipi ya kiasili Waliyoitumia Kutibu Changamoto Hii ya Kukojoa Mara Kwa Mara Usiku na Mchana?

Ifahamike kwamba miaka 1700 iliyopita, viwanda vya kutengeneza dawa vilikuwa havijavumbuliwa. Hivyo basi, kama dawa za kisasa hazikuwepo… lazima babu zetu kuna tiba asili walitumia.

Na ukweli ni kwamba…kulikuwa na wataalamu wa tiba asili waliokuwa na maarifa ya kipekee. Walijua kuchanganya aina fulani ya mizizi na majani ya msituni kutengeneza tiba ya kutibu changamoto hii.

Mizizi na majani hayo yalikuwa na nguvu ya ajabu—yaliweza kuyeyusha uvimbe wa tezi dume kiasili, kusafisha mfumo wa mkojo, na hata kurejesha nguvu za kiume zilizopotea.

Enzi hizo, mwanaume mwenye miaka 40 na zaidi akianza kuona dalili za kukojoa mara kwa mara, mkojo usioisha, au mkojo unaorudi nyuma… alifika kwa mtaalamu wa tiba asili. Na mtaalamu huyu alichanganya mizizi na majani kwa usahihi wa hali ya juu. Baada ya siku chache au wiki kadhaa za kutumia mchanganyiko huo, tatizo lilikuwa linaisha kabisa.

Lakini kadri miaka ilivyopita…wajuzi wa kuchanganya mizizi na majani haya asili wakaanza kupungua hivyo kupelekea tiba asili za tatizo hili kupotea taratibu.

Kwa miaka mingi, kundi moja la wataalamu wa tiba asili nchini Marekani wamekuwa wakifanya utafiti wa kina kuweza kubaini mizizi ipi hasa iliyokuwa ikitumika na mababu zetu kutibu uvimbe wa tezi dume kiasili.

Taarifa mbaya ni kwamba licha ya tafiti za kina za mda mrefu bado wataalamu hawa wameshindwa kugundua mizizi na majani yaliyotumiwa na babu zetu miaka 1700 iliyopita.

Hali hiyo ya kushindwa kubaini mizizi na majani yaliyotumiwa na babu zetu haikuwakatisha tamaa...

Badala yake wataalamu hawa wa tiba asili wakaamua kujikita zaidi katika kufanya majaribio ya vyakula ambavyo vinaweza kusaidia kupona uvimbe wa tezi dume.

Walifanya majaribio ya vyakula tofauti tofuati kwa miaka miwili lakini bado vyakula vingi vilionyesha kutosaidia kutibu uvimbe wa tezi dume.

Katika tafiti zao wakagundua baadhi ya mimea ambayo inasaidia kutibu uvimbe wa tezi dume lakini iliwawea ngumu kutumia mimea hiyo kwa sababu ingewabidi waanzishe kilimo kikubwa na waweze kutengeneza vidonge ndo wasambaze kwa wahanga na watumiani. 

Kwakua lengo lao kuu ni kusaidia watu kupona uvimbe wa tezi dume nyumbani na kiasilia hivyo waliachana na habari za mimea hiyo.

Hata hivyo iliwabidi waendelee na utafiti wao wa kubaini njia asilia ya kutibu tatizo hili nyumbani.

Baada ya tafiti za mda mrefu walijidharau sana maana walikuja kugundua jinsi ya kutibu uvimbe wa tezi dume kwa kutumia vitu ambavyo hawakutegemea kabisa.

Hakuna ambaye aliamini kama kwa kutumia aina moja ya mbegu zinazopatikana sokoni kwa urahisi, aina tatu za viungo muhimu, na tunda moja ambalo watu wengi wanalipuuzia, vingeweza kutibu uvimbe wa tezi dume ndani ya wiki chache tu. 

Ugunduzi huo wa:

  • Aina moja ya mbegu
  • Aina tatu za viungo na
  • Tunda moja

Ulileta ukombozi kwa wahanga wengi wa uvimbe wa tezi dume. Na mpaka sasa ni maelfu ya wahanga wameweza kupona uvimbe wa tezi dume kwa kufuata muongozo wa utumiaji wa vitu hivi.

Taarifa njema ni kwamba utapata kugundua vitu hivi na njia sahihi ya kuvitumia kutoka kwenye kijitabu changu kipya ambacho nimekipa jina la:

Mwongozo Wa Kutibu Uvimbe Wa Tezi Dume Nyumbani

Kabla ya Kufuata Mwongozo Huu

❌ Kuamka mara kwa mara usiku kwenda kukojoa na kushindwa kupata usingizi wa kutosha…


❌ Kukaa muda mrefu chooni kusubiri mkojo kidogo au wakati mwingine matone tu ndio yanatoka…


❌ Kuhisi aibu na kupoteza heshima yako ya kiume mbele ya mwenzi wako…


❌ Kuishi kwa wasiwasi, ukijiuliza kama utalazimika kufanyiwa upasuaji au kutumia dawa zenye madhara…


❌ Kukosa amani ya akili kwa sababu afya yako haiko sawa na kila siku hali inazidi kuwa mbaya…


❌ Kupoteza hela nyingi kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi.

Baada ya Kufuata Mwongozo Huu

✅ Uvimbe wa tezi dume unayeyuka kiasili na tatizo la kukojoa mara kwa mara linaisha kabisa…


✅ Unaweza kulala fofofo usiku mzima bila kuamka mara kwa mara kwenda chooni…


✅ Unakojoa kwa nguvu, bila maumivu, bila kubaki chooni muda mrefu wala mkojo kusalia kwenye kibofu…


✅ Nguvu zako za kiume na hamu ya tendo la ndoa zinarejea kama kijana…


✅ Unapata amani ya moyo, heshima yako ya kiume inarudi, na familia yako inafurahia afya yako bora…


✅ Pesa ambazo ungezidi kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi, unazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

Usiyaamini maneno yangu. Hawa hapa ni baadhi ya wahanga wa uvimbe wa tezi dume ambao baada ya kufuata mwongozo huu wana yafuatayo ya kusema:

Ubarikiwa sana. Mwongozo huu ni kiboko. Ni halali wataalamu wa afya wajidharau kwa ugunduzi huu maana kwa hali ya kawaida vitu hivi lazima uvidharau lakini nimejionea mwenyewe maajabu yake. wiki mbili sasa tangu nianze kufuata mwongozo najihisi kupona kabisa

Imani  | 

Hatimaye suluhisho la bei ambayo hata mtanzania wa hali ya chini anaweza kumudu limepatikana. Binafsi nashukuru maana leo siku ya 5 tangu nianze kufuata mwongozo huu tayari nimeshaanza kuona mabadiliko makubwa tofauti na dawa ambazo nimekuwa nikitumia miezi kadhaa sasa

Jordan  | 

Natamani mwongozo huu ningeupata kabla ya kutapeliwa pesa zangu kununua dawa na tiba uchwala. Ilitakiwa bei ya mwongozo huu ndo iwe 500,000 bei tunayo uziwa madawa ambayo yanaishia kututia umaskini bila matumaini ya kupona

Ramadhani  | 

Nimetumia dawa kibao nilichoambulia ni kuzidi kupoteza pesa bila matumaini ya kupona. Mwongozo huu nimeupenda kwanza kabisa gharama yake ni nafuu na pili unapona kiasilia

Peter  | 

Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?

  • Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya siku 3 za kuanza kufuata mwongozo huu.
  • Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku tano za kuanza kufuata mwongozo huu.
  • Hata hivyo, mamia ya wahanga waliofuata mwongozo huu, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku saba za kuanza kufuata mwongozo huu.
  • Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku saba na kuendelea.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Nakala Ya Mwongozo Huu?

Kabla sijakwambia bei ya nakala ya Mwongozo wa kutibu uvimbe wa tezi dume nyumbani kiasili, ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho ambalo linaweza kukuvusha kutoka kwenye maumivu, usumbufu wa kukojoa, na hofu ya upasuaji hadi hali ya kuwa na afya bora na maisha ya amani?


Nadhani ukijipangia 100,000/= utakuwa upo sahihi. Hata hivyo, hiyo laki moja ni ndogo sana ukilinganisha na thamani ya afya yako na uhuru wa maumivu utakaopata.

Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hiyo 100,000/=

Pesa utakayolipa hata nusu ya hiyo laki moja haifiki.

Utapata nakala ya mwongozo huu kwa:

30,000/=

Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.

Kama utalipia kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 9,500/= kupata nakala yako.

Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 30,000/=

Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kupona kabisa uvimbe wa tezi dume!

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Bonyeza link ya kufanya malipo kupata nakala yako. Mara baada ya kukamilisha malipo utatumiwa nakala yako whatsapp.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications