Customer Acquisition Engine (CAE)

  • Courses
  • /
  • Customer Acquisition Engine (CAE)

Premium course

Intermediate

Video/Text

Video/Text

Meta Ads

40 Lessons

0% Not started

Customer Acquisition Engine (CAE)

9 Lessons

Premium course

Katika video hii utapata picha nzima ya ambacho tunaenda kukifanya ndani ya wiki 4 za program.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza ujuzi wa kukuvutia wateja ukiwa umelala

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza maneno ya ushawishi ambayo inatakiwa uyaandike ili mgonjwa akiyasoma awe tayari kutoa pesa.

Video lesson

Premium course

Katika video hii utajifunza hatua 3 ambazo inatakiwa uzifuate wakati unaandika maandishi ya kumshawishi msomaji awe tayari kutoa pesa baada ya kusoma.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia ChatGPT (Artificial intelligence) kupata majibu ya maswali kuhusu mteja wako

Video lesson

Premium course

Video hii ni mwendelezo wa utafiti kuhusu mteja wako.

Video lesson

Premium course

Kwenye Video hii utajifunza jinsi ya kutumia Amazon na YouTube kufanya utafiti kuhusu mteja wako.

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu jinsi ya kufanya utafiti kuhusu bidhaa yako (Zako)

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu kutumia ChatGPT kugundua wazo lililopo nyuma ya kutengenezwa kwa bidhaa yako. Wazo hili ndo litatumika kuiuza bidhaa yako.

Video lesson

13 Lessons

Premium course

Katika video hii utajifunza ni mambo gani uyafanye kabla hujaanza kuandika ujumbe (Sales letter) wako kwa mara ya kwanza

Video lesson

Premium course

Video hii inafundisha jinsi ya kuamsha hisia za kununua ndani ya ubongo na moyo wa msomaji.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua 18 ambazo utazifuata wakati unaandika ujumbe wenye ushawishi kwa msomaji kutoa pesa bila kuchat na wewe.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua ya 3 ya hatua 18

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua ya 5 ya hatua 18

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuielezea bidhaa yako katika namna ambayo itaifanya ionekane ni ya kipekee kwa msomaji.

Video lesson

Premium course

Video hii ni mwendelezo wa hatua ya 6 ya hatua 18

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuitambulisha bidhaa yako kwa msomaji

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia shuhuda kuongeza ushawishi kwa msomaji kununua bidhaa zako.

Video lesson

Premium course

Video hii ni mwendelezo wa jinsi ya kuongeza thamani ya bidhaa yako

Video lesson

Premium course

Video hii inafundisha jinsi ya kutoa wito kwa msomaji ili anunue bidhaa zako

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu hatua ya 3 ya ujuzi wa copywriting ya kufanya marekebisho kwenye ujumbe wako uliouandika kwa mara ya kwanza.

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu hatua ya 1 ya hatua 18

Video lesson

6 Lessons

Premium course

Kwenye video hii utapata picha nzima ya ambacho utajifunza kwenye wiki ya 3 ya program.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kufungua account ya system.io

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza sehemu katika account ya system.io ambazo utazitumia kutengeneza sales page yako

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sales page

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza Form ambayo mteja ataitumia kuweka ODA yake

Video lesson

Premium course

Hii ni video ya update kuhusu Domain Name Verification kwenye account yako ya system.io

Video lesson

12 Lessons

Premium course

Video hii inaonesha hatua za kufungua page ya biashara Facebook na Business manager pamoja na jinsi ya kuunganisha account yako ya Instagram na page yako ya biashara.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza Pixel kwenye Business manager yako

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuweka (Kupesti) meta pixel kwenye sales page yako ya system.io

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kukonfiga "content view event" kwenye sales page yako.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza custom audience ya watu wote ambao watatembelea sales page yako.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia ad library kuona matangazo yote ya washindani wako.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuweka mahesabu yako vizuri ili matangazo ya kulipia yawe na Faida kwako.

Video lesson

Premium course

Jifunze jinsi ya kuandika matangazo mazuri ya kuvutia

Text lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kudesign picha zenye mvuto kwa kutumia application ya Canva

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua zote za kurusha tangazo kwa kutumia dhumuni (Objective) la sales.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuconfirm ODA ya mteja.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuuza bidhaa zaidi ya moja kwa mteja mmoja.

Video lesson

Follow

About the teacher

Mr Bokko

Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

  1. Kwa Ujumla hii Kozi ni Bonge la Kozi.

    Nimejifunza kozi nyingi lakini Kozi hii ni ya kipekee kabisa!!

    Ni kozi ya Vitendo zaidi.

    Nimefurahi kufika mwisho nikiwa na mfumo wangu mkononi!!!

    Mr. Bokko Nakushukuru sana!!!

{"email":"Email address invalid","url":"Website address invalid","required":"Required field missing"}
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications