Social Media Branding (SMB)
Premium course
Intermediate
Premium course
Intermediate
Video/Text
Meta Ads
22 Lessons
0% Not started
Premium course
Link ya kujiunga kwenye group maalumu la whatsapp kwa ajili ya support sehemu utakayokwama kwenye program.
Premium course
Video hii inahusu misingi ya kukuongoza kujenga Brand kubwa mtandaoni.
Premium course
Video hii inafafanua mfumo mzima tutakao tumia kujenga brand yako mtandaoni na kukufanya uwe maarufu kwenye soko lako.
Premium course
Video hii inaelezea jinsi ya kutengeneza OFA nzuri ya kumshawishi mteja kununua bidhaa zako
Premium course
Video hii inaelezea jinsi ya kuset whatsApp Business katika namna ambayo itaongeza mauzo kwenye biashara yako.
Premium course
Video hii inafundisha namna sahihi ya kutumia Duka la wahtsapp (Catalogue)
Premium course
Hii video inahusu jinsi ya kuandika na kuset "WhatsApp Away Massage" yenye ushawishi kwa mteja kusave namba zako ili badae uzidi kumfanyia "Follow up" kupitia "Broadcast Message"
Premium course
Video hii inafundisha mambo 3 ambayo ukiyafanya kwenye whatsapp yako kila siku lazima mauzo yako yaongezeke.
Premium course
Video hii inaelezea aina 3 za post ambazo utazitumia kukuza brand yako Facebook na Instagram.
Premium course
Video hii inaelezea aina ya kwanza ya post.
Premium course
Video hii inaelezea aina ya pili ya post
Premium course
Video hii inaelezea aina ya tatu ya post
Premium course
Video hii inaelezea jinsi engagement inavyofanya kazi.
Premium course
Video hii inaelekeza jinsi ya kufungua account ya manychat (Messenger Bot)
Premium course
Video hii inaelezea sehemu mbalimbali za account yako ya manychat
Premium course
Video hii inaelezea setup za muhimu ambazo unatakiwa uzifanye kwenye account yako ya manychat
Premium course
Video hii inafundisha jinsi ya kuseti roboti liwe linachat na wateja masaa 24 kwa niaba yako.
Premium course
Video hii inafundisha jinsi ya kuseti roboti katika namna ambayo mtu akikomenti kwenye post yako anaanza kuchat na roboti mpaka hatua ya yeye kuwa tayari kununua bidhaa yako.
Premium course
Video hii inaelekeza sheria muhimu za kufuata ili usifungiwe account yako ya manychat
Premium course
Video hii inafundisha jinsi ya kutengeneza audience ya watu wote ambao wataengage na maudhui yako
Premium course
Video hii inaelekeza jinsi ya kuwa maarufu ndani ya muda mfupi
Premium course
Video hii inaelezea jinsi ya kurusha tangazo ambalo linawalenga watu ambao tayari wana ufahamu wa brand yako.
Follow
Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.