Facebook & Instagram Mapene

  • Courses
  • /
  • Facebook & Instagram Mapene

Premium course

Easy

Video/Text

Video/Text

Meta Ads

16 Lessons

0% Not started

Facebook & Instagram Mapene

4 Lessons

Premium course

Premium course

Video hii inatoa picha nzima ya nini utajifunza kwenye darasa hili.

Video lesson

Premium course

Video hii inaonesha hatua za kufungua page ya biashara Facebook na Business manager pamoja na jinsi ya kuunganisha account yako ya Instagram na page yako ya biashara.

Video lesson

Premium course

Video hii inaonesha jinsi ya kuadd payment method kwenye ads manager yako

Video lesson

Premium course

Video lesson

Premium course

Video hii inafundisha hatua ya 3 ya kurusha Tangazo lako Fb au Insta

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu aina 3 za makundi ya watu mtandaoni watakao yaona matangazo yako

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia "Targeting Hack" kugundua "Interests" za kukupatia Faida kubwa kwa bajeti ndogo

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu sheria za kukuongoza kufanya majaribio ya matangazo

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu aina 3 za matangazo ambayo ukiyatumia utapata matokeo ya haraka

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kudesign picha zenye mvuto kwa kutumia application ya Canva

Video lesson

Premium course

Video hii inaonesha hatua kwa hatua jinsi ya kujaribu makundi ya watu mtandaoni

Video lesson

1 Lesson

Premium course

Video hii inaonesha hatua za kufuata ukitaka kuchat na support team kuhusu Tatizo lolote kwenye Account yako ya Facebook

Video lesson

1 Lesson

Premium course

Video hii inahusu namna sahihi ya kutoa OFA kwa wateja wako

Video lesson

2 Lessons

Premium course

Video hii inaonesha jinsi ya kutengeneza landing page ya whatsapp ambayo itakusaidia kuwatoa watu mtandaoni (Fb & Insa) kuja kwenye group lako la whatsapp.

Video lesson

Premium course

Baada ya mafunzo sasa ni wakati wako wa kutoa maoni kuhusu darasa hili.

Text lesson

Follow

About the teacher

Mr Bokko

Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.

  • Tayari nimefungua account na nimesikiliza video ya utangulizi, video zinazofuata zinagoma kufunguka

  • Asante sana kwa masomo mazuri mkuu .

    Mungu wa mbinguni akubariki sana.

    Lakini napenda kujua njia nzuri ya kitoa elimu kwenye group ni ipi

    Ni kutuma voice note au kwa kuandika ujumbe pale unapokuwa unafundisha ?

  • {"email":"Email address invalid","url":"Website address invalid","required":"Required field missing"}
    >
    error: Copying is not allowed on this website
    Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications